Storm FM

madiniyadhahabu

11 March 2022, 5:34 pm

Mradi wa magari ya umeme mbioni kuanza.

Na Joel Maduka: Imeelezwa kuwa, Kampuni ya Peak Resources Ngualla (PRNG) itakayo jihusisha na uchimbaji wa madini ya teknolojia ya Rare Earth Elements ipo katika hatua za mwisho za makubaliano na serikali ili ianze uchimbaji wa madini hayo. Hayo yamebainishwa…

22 September 2021, 4:29 pm

Waziri azindua maonesho ya nne Geita.

Na Mrisho Sadick: Serikali imeahidi kusimama na wachimbaji pamoja na wafanyabiashara wa madini ya dhahabu hapa nchini kutokana na Sekta hiyo kuendelea kuongeza Pato la taifa. Hayo yamebainishwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Kassim Majaliwa…

22 September 2021, 11:04 am

Shangwe zaendelea maonesho Geita.

Na Kale Chongela: Kikundi Cha Ngoma  kutoka Mkoa wa Mwanza  kikiendelea kutumbuiza katika Uwanja wa EPZ Bombambili mjini Geita, kwenye Maonesho ya Nne ya Teknolojia na Uwekezaji katika Sekta ya Madini ambayo leo tarehe 22 Septemba yatazinduliwa rasimi na Waziri…

22 September 2021, 10:45 am

Ufunguzi rasmi maonesho ya nne.

Na Mrisho Sadick: Burudani zikiendelea katika viwanja vya Uwekezaji EPZ mjini Geita ambapo Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa anatarajia kuyazindua rasmi maonesho ya teknolojia na Uwekezaji katika Sekta ya Madini hii leo.

17 September 2021, 2:20 pm

Maonesho ya nne yanoga.

Na Ester Mabula: Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imewataka wachimbaji kutumia Maonesho ya Nne ya Teknolojia na Uwekezaji kwenye Sekta ya Madini kujifunza teknolojia mbalimbali zilizopo kwenye maonesho  yaliyoanza leo Mkoani Geita. Wito huo umetolewa leo…

16 September 2021, 5:23 pm

Maonesho kuanza rasmi leo.

Na Kale Chongela: Hatimaye siku ambayo ilikuwa ikisubiriwa imetimia ambapo leo Septemba 16, 2021 yanaanza maonesho ya nne ya teknolojia na uwekezaji katika sekta ya madini mkoani Geita. Kauli mbiu katika maonesho hayo kwa mwaka huu ni “Sekta ya Madini Kwa…

15 September 2021, 5:58 pm

Maonesho ya nne Geita.

Na Kale Chongela: Serikali mkoani Geita imewaomba wananchi kujitokeza kwa wingi katika maonesho ya nne ya Teknolojia na Uwekezaji katika sekta ya Madini ambayo yanatarajia kuanza Septemba 16, 2021 katika viwanja vya EPZ mtaa wa Bombambili mjini Geita. Akizungumza na waandishi wa Ofisini kwake…

9 August 2021, 3:19 am

Wachimbaji wafungiwa shughuli zao.

Na Mrisho Sadick: Wachimbaji wadogo katika Kijiji cha Kanegere namba mbili Wilayani Mbongwe Mkoani Geita ,wameiomba serikali kupitia Wizara ya Madini kuwasaidia kutatua changamoto ambayo inawakabili ya kufungiwa shughuli zao na ofisi ya madini mbogwe kwa muda wa zaidi ya…