Storm FM

afya

13 April 2024, 1:55 pm

Wanawake Nyankumbu waondokana na adha ya kujifungulia njiani

Changamoto ya wanawake kujifungulia njiani imekuwa ikiripotiwa kutoka katika maeneo mbalimbali ya nchi yetu huku sababu mbalimbali ikiwemo Umbali, uchumi na miundombinu duni katika baadhi ya maeneo ya kutolea huduma za afya zikihusishwa kupelekea hali hiyo kutokea. Na Mrisho Sadick…

16 February 2024, 2:44 pm

Kinababa pelekeni watoto kwenye chanjo

Jamii imetakiwa kuona umuhimu wa kuwapeleka watoto wao kupatiwa chanjo ili kuwakinga na maradhi mbalimbali. Na Mrisho Shabani: Kina baba Mkoani Geita wametakiwa kujitokeza kwa wingi kuwapeleka watoto wao wenye umri wa kuanzia miezi tisa hadi miaka mitano kupatiwa chanjo…

11 March 2022, 5:43 pm

Waiba mali na kubaka watu wawili wa familia moja.

Na Zubeda Handrish: Katika hali ya kusikitisha familia moja katika mtaa wa Majengo uliopo kijiji cha Kasamwa mkoani Geita wamevamiwa na kuibiwa mali na wanafamilia wawili wanawake kubakwa na watu sita. Baada ya tukio hilo kutokea wamezungumza wahusika.

23 September 2021, 6:19 pm

Watu wenye ulemavu bado wana changamoto.

Na Zubeda Handrish: Shirika lisilo la kiserikali la Internews Tanzania limetoa mafunzo maalumu ya siku mbili ili kuwajengea uwezo wanahabari wa Tanzania kuandika kwa usahihi habari za watu wenye ulemavu zenye mchango katika maendeleo ya watu wenye ulemavu. Mafunzo hayo…

22 September 2021, 9:39 am

Aomba vifaa vya masomo.

Gideon Moses ni Kijana mwenye ulemavu wa viungo vya mwili ambaye anakula chakula kwa kutumia miguu ambaye anaishi Mtaa wa #Mwatulole pamoja na wazazi wake. Mwenyekiti wa mtaa wa #Mwatulole Bw. Noel Ndasa amekiri kuwepo kwa mtoto huyo katika eneo lake na kwamba mara…

17 September 2021, 5:37 pm

Mbwa tishio Shilabela.

Na Zubeda Handrish: Katika hali isiyokuwa ya kawaida watu 8 wameng’atwa na mbwa katika mtaa wa Shilabela mjini Geita ikielezwa kuwa ni mbwa wenye kichaa. Hayo yamebainishwa na mwenyekiti wa mtaa huo Bw. Fredrick Masalu baada ya wahanga kufika ofisini kwake ili kuweza kupata…

4 August 2021, 7:49 pm

RC Geita azindua Chanjo kwa kuchanjwa.

Na Mrisho Sadick: Mkuu wa Mkoa wa Geita Bi Rosemary Senyamule ametoa onyo kwa watumishi wa afya na vituo binafsi vyakutolea huduma za Afya watakaobainika wakiwauzia wananchi chanjo ya kujikinga na corona. Mkuu wa Mkoa huyo  Senyamule ametoa kauli hiyo…