

September 22, 2023, 1:09 pm
BRELA wanaendelea kuwa msaada mkubwa katika kutoa elimu ya urasimishaji wa biashara kwani imekuwa changamoto kubwa kwa wafanyabiashara. Na Zubeda Handrish- Geita Elimu na uelewa mdogo kuhusu urasimishaji wa biashara imekuwa changamoto kubwa kwa wafanyabiashara hali iliyowasukuma wakala wa leseni…
September 18, 2023, 10:31 pm
Shule ya sekondari Lutozo iliyopo katika Mamlaka ya mji mdogo Katoro, ina walimu wawili wa bailojia ambao hulazimika kufundisha wanafunzi 2,049 yenye jumla ya mikondo 26 kuanzia kidato cha kwanza mpaka kidato cha nne. Na Said Sindo- Geita Shule hiyo…
September 17, 2023, 2:20 pm
Wilaya ya Nyang’hwale imeanza kudhibiti changamoto ya watoto wa kike kuozeshwa baada ya kumaliza mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi mwaka huu. Na Mrisho Sadick: Mkuu wa wilaya ya Nyang’hwale mkoani Geita Grace Kingalame ametoa onyo kwa wazazi na walezi…
August 29, 2023, 11:08 am
Wazazi na walezi wenye wanafunzi wa kidato cha tano waliopangiwa katika shule ya sekondari Mbogwe Mkoani Geita wawaruhusu kwenda shule kwani idadi ya wanafunzi walioripoti ni ndogo. Na Mrisho Sadick: Kamati ya siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa…
July 26, 2023, 7:39 pm
Kutokana na changamoto ya upungufu wa madawati katika shule za msingi wilayani Geita Mgodi wa GGML umejitosa kuisaidia serikali kukabiliana na changamoto hiyo. Na Kale Chongela: Mgodi wa Geita Gold Mining Limited GGML umekabidhi madawati 3,000 kwa ajili ya shule…
July 24, 2023, 1:38 pm
Wanafunzi wenye mahitaji maalum katika shule ya msingi Katoro wilayani Geita wamemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kuwajengea bweni ambalo limegharimu kiasi cha zaidi ya shilingi milioni 150. Serikali imeendelea kuboresha mazingira kwa wanafunzi wenye…
July 12, 2023, 5:27 pm
Vuguvugu na tuhuma kutoka kwa wanachama wa CWT zimekuwa kubwa kwa Rais wa chama hicho na katibu wake, suala lililopelekea Rais huyo kutoka hadharani na kujibia tuhuma zinazomkabili kutoka kwa wanachama wake. Na Said Sindo- Geita Ikiwa imepita wiki moja…
July 4, 2023, 3:02 pm
Kutokana na ukuaji wa teknolojia ya mawasiliano hapa nchini, Mtandao wa Redio za Jamii Tanzania (TADIO) umeendelea kuzijengea uwezo redio hizo ili kujiimarisha kimtandao zaidi. Na Mrisho Sadick – Geita Redio za kijamii 11 wanachama wa mtandao wa TADIO kutoka…