Sibuka FM
UJENZI
6 November 2021, 4:58 pm
TANROAD simamieni kwa ukaribu ujenzi wa miundombinu ya barabara
Na mwandishi wetu Daniel Manyanga,Simiyu Mkuu wa mkoa wa Simiyu, David Kafulila amemtaka wakala wa barabara TANROAD mkoani hapo kusimamia kwa ukaribu utekelezaji wa miradiĀ mbalimbali ya ujenzi wa barabara ili kubaini mapungufu mapema na kuepusha gharama zaidi za ukarabati.…