Sibuka FM
TEHAMA
16 September 2021, 4:02 pm
Waziri Mashimba Ndaki akabidhi Komputa kwa shule za Sekondari jimboni kwake.
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki amewataka Wakuu wote wa shule za sekondari katika jimbo la Maswa Magharibi Mkoani Simiyu kuanzisha madarasa ya kompyuta ili wanafunzi kupata maarifa zaidi. Waziri Ndaki ambaye pia ni Mbunge wa jimbo hilo amesema…