Sibuka FM
Maafa
25 October 2021, 1:18 pm
mvua iliyo ambatana na upepo mkali imeezua nyumba zaidi 50 wilayani bariadi
Na mwandishi wetu Daniel Manyanga,Simiyu Zaidi ya 50 zilizopo kata ya Ngulyati iliyopo wilayani Bariadi mkoani Simiyu zimeezuliwa na upepo mkali ulioambatana Mvua. Kutokana na hali hiyo mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wilaya ambaye pia ni mkuu wa…