Sibuka FM
CHANJO
8 February 2024, 8:50 pm
Zaidi ya watoto laki moja kupata chanjo ya surua, rubela Maswa
Watoto wenye umri wa kuanzia miezi tisa hadi chini ya miezi hamsini na tisa kupatiwa chanjo ya ugonjwa wa Surua na Rubela katika kampeni ya kitaifa ya siku nne. Na,Daniel Manyanga Zaidi ya Watoto Laki Moja walio na umri chini…
10 May 2021, 5:42 pm
ZAIDI YA WATOTO LAKI NNE KUPATIWA KINGATIBA SIMIYU
Zaidi ya watoto 400,000 wenye umri wa kwenda shule watapatiwa kingatiba mkoani Simiyu lengo likiwa kuwakinga na magonjwa ya kichocho na minyoo tumbo. Hayo yamesemwa na mratibu wa magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele kutoka mkoa wa Simiyu Dkt Ntugwa Nyorobi wakati…