

March 4, 2023, 10:18 am
Na Alex Sayi Mkuu wa Wilaya ya Maswa Mkoani Simiyu ,Mhe.Aswege Kaminyoge ,amepiga marufuku tabia ya Wakuu wa shule wilayani hapo kuwafukuza wanafunzi kwa sababu ya kutokukamilisha michango ya shule au kwa sababu zingine zile. Hayo ameyasema wakati akizungumza na…
January 11, 2023, 12:27 pm
Na mwandishi wetu, Daniel Manayanga Zaidi ya Millioni thelatheni ambayo ni michango ya wananchi,mfuko wa jimbo la Maswa Magharibi zimeshatumika katika ujenzi wa Shule ya Sekondari Sayusayu iliyopo Kata ya Buchambi Wilayani Maswa Mkoani Simiyu ili kupunguza adha wa wanafunzi…
December 15, 2022, 4:47 pm
Imeelezwa kuwa Wilaya ya Maswa Mkoa wa Simiyu hadi kufikia mwezi Novemba , 2022 Imefanikiwa Kuandikisha Watoto wa Darasa la Awali Elfu Saba (7000) Sawa na Asilimia Hamsini na Mbili (52%) ya Makisio yote ya Watoto Elfu kumi na tatu…