Sibuka FM

MASHIMBA NDAKI AAGIZA KUKAMATWA KWA WANUNUZI WOTE WA PAMBA WANAONUNUA CHINI YA BEI ELEKEZI YA SERIKALI..

July 25, 2022, 6:21 pm

Waziri   wa  Mifugo  na  Uvuvi   na  Mbunge   wa  Jimbo  la  Maswa  Magharibi  Mh  Mashimba  Ndaki  ameagiza  kukamatwa  kwa   Wanunuzi   wa  Pamba  wanaonunua  chini  ya  Bei  Elekezi  ya  ya  Serikali…

Mh   Ndaki  ametoa  maagizo   hayo  katika  mkutano  wa   Hadhara  wa  kusikiliza  kero  za  Wananchi  wa   Jimbo  lake  uliofanyika   katika  kijiji  cha  Bukangilija  kilichopo  kata  ya  Badi  Wilayani  Maswa ..