Sibuka FM

Wananchi wilayani maswa wamlilia Dr Magufuli

March 24, 2021, 12:24 pm

Wananchi wilayani Maswa mkoani Simiyu wameeleza kuhuzunishwa na kifo cha aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati mh Dokta John Joseph Pombe Magufuli..

Wakiongea na Sibuka fm kwa nyakati tofauti wamesema kuwa Hayati Magufuli amefanya mambo mengi kwa wananchi wa maswa ikiwepo ujenzi wa barabara za lami….

Mwananchi akitoa pole kwa msiba wa Hayati JPM

Wamesema kuwa Hayati Dokta Magufuli watamkumbuka kwa kuleta mfumo wa Elimu buree..

Mwananchi akielezea atakavyomkumbuka JPM
Wananchi wilayani Maswa