Sengerema FM

Uncategorized

11 March 2024, 6:03 pm

CCM yazindua kampeni za udiwani Sengerema

Tume ya Taifa ya Uchaguzi ilitangaza Uchaguzi Mdogo wa Madiwani Kata 23 Tanzania Bara, ukitarajiwa kufanyika tar 20 Machi 2024 Kwa mujibu wa taarifa kwa umma iliyotolewa na Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC Bw. Kailima, R. K jijini Dodoma tar15…

5 July 2023, 1:54 pm

Mtoto afariki kwa kushambuliwa na Fisi

Kutokana na kuongezeka kwa matukio ya Fisi kushambulia watu na mifungo wilayani sengerema, hali hiyo imezua hofu, huku baadhi yao wakishindwa kufanya shughuli za maendeleo Na:Emmanuel Twimanye Mtoto   mwenye umri wa  miaka 5  aliyeshambuliwa na Fisi na kujeruhiwa sehemu  mbalimbali…

22 March 2022, 4:14 pm

Waziri wa ardhi azindua baraza la Ardhi Sengerema.

Waziri wa Ardhi nyumba na Maendeleo ya makazi  Mh, Agelina Mabula  amewataka  watumishi  wa mabaraza  ya ardhi na nyumba ya Wilaya  nchini   kutimiza wajibu wao kwa weledi kwa kuzingatia  sheria ,kanuni ,taratibu  na miongozo iliyopo  na itakayotolewa  ili kuboresha utoaji…

21 October 2021, 1:20 pm

Tanzania kuzidi kuwawezesha wanawake kimaendeleo.

Tanzania imeazimia kuendelea kuwawezesha wanawake katika nyanja mbalimbali ikiwemo katika Uongozi na uwezeshaji Wanawake Kiuchumi kupitia Majukwaa ya Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi. Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Jinsia kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee…

26 May 2021, 8:41 pm

Kaya masikini elf6 kunufaika na Tasaf nchini.

Jumla ya kaya masikini elfu sita nchini zinatalajia kunufaika na mradi wa kunusuru kaya masikini TASAF awamu ya pili huku walengwa millioni moja laki nne na elfu hamsini watanufaika na mradi huo.Hayo yamebainishwa na Bwn Swaleh Mwidad mwakilishi wa mkurungezi…

21 May 2021, 4:47 pm

Mwauwasa yakabidhi mradi mkubwa wa maji mjini Sengerema.

Mamlaka ya maji  mjini mwanza  (MWAUWASA) wamekabidhi mradi wa maji kwa mamlaka ya maji mjini Sengerema  uliojengwa kwa kiasi cha zaidi billioni moja hadi kukamilika na unatarajia kunufaisha  watu elfu kumi uliopo katika kata ya Nyampande Wilayani Sengerema Mkoani Mwanza.…