Sengerema FM

Madalizi metch ya Simba sc vs Ruvushooting yakamilika Ccm kirumba.

2 June 2021, 3:26 pm

Katibu wa mzfa wa kwanza kushoto, katikati kocha msaidizi wa Ruvushooting na kulia nahodha msaidizi wa Ruvushooting.

Maandalizi ya mechi kati ya ruvushooting na Simba sc yakamilika katika uwanja wa ccm kirumba jijini Mwanza.

Akizungumza na wandishi wa Habari katibu wa Shirikisho la mpira wa miguu mkoa wa mwanza (MZFA) Bwn.Leonard Malongo amesema madalizi ya metchi hiyo yamekamiriki huku akitaja na vingilio kwa mashabiki na wapenzi soka nchini.

Sauti ya katibu wa Mzfa Bwn, Leonard Malongo

Kwa upande wake kocha msaidizi wa Simba sc Sullein Matolla amesema simba wamejipanga kupata matokeo ya ushindi ili kuendelea kujiweka kileleni mwa ligi kuu Tanzania bara.

Sauti ya kocha msaidizi wa Simba sc Sulleiman Matolla

Nae kocha msaidizi wa Ruvushooting Rajabu Mohamed amesema Simba sc wataiheshimu kama timu kubwa, huku akitamba kuendeleza kichapo kwa klabu hiyo.

Sauti ya kocha msaidiz wa Ruvushooting Rajabu Mohamed

Hata hivyo manahodha wa vilabu vyote viwili Hussein Shabalala wa Simba sc na ruvushooting wamesema watayatumia vyema maelekezo ya walimu wao ili kuhakikisha wanapata point tatu.

Sauti za mahodha wa timu za simba sc na Ruvushooting

Mchezo wa Ruvushooting na Simba sc utachezwa katika dimba la CCM Kirumba jijini Mwanza siku ya tar.3 mwezi huu.