Sengerema FM

Breaking : Rais Samia afanya uteuzi wa makatibu, manaibu katibu wakuu na wakuu wa tasisi na idara za Serikali.

4 April 2021, 11:32 pm

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassana amefanya uteuzi wa Makatibu wakuu wa Wizara, Naibu Makatibu Wakuu wa Wizara na Wakuu wa Taasisi na Idara mbalimbali za serikali leo tarehe 4/4/2021