Radio Kwizera

JWTZ wajikumbusha mbinu za Kivita kulinda Mipaka

May 3, 2021, 8:22 pm

Na; William Mpanju

Jeshi la Wananchi wa Tanzania, JWTZ kikosi cha 23 KJ limewataka askari kuwa wakakamavu na kufanya mazoezi kama sehemu ya maisha ya kijeshi kufuatia mafunzo  sambaratisha adui  yaliyolenga kujikumbusha mbinu za kivita ili kuendelea kulinda mipaka ya nchi .

Baadhi ya Wanajeshi wakishiriki mafunzo

Mwandishi wa Radio Kwizera William Mpanju ameandaa taarifa ifuatayo.

Sauti ya William Mpanju

aa