Radio Jamii Kilosa
Ufugaji
16 April 2021, 11:19 am
Kikundi cha Kiwasai chafaidika na vifaranga vya samaki 1000.
Katika kuhakikisha jamii inaepukana na changamoto ya udumavu, Shirika la Save the Children kupitia mradi wa Lishe endelevu unafadhiliwa(USAID) April 15 umetoa vifaranga vya samaki aina ya Sato elfu moja katika kikundi cha KIWASAI kilichopo Ilonga Wilayani Kilosa Mkoani Morogoro.…