Radio Jamii Kilosa

Elimu

14 January 2021, 2:55 am

Kilosa yajipanga kuto poteza vipindi darasani.

Wakati shule zikifunguliwa kwa ajili ya wanafunzi kuanza rasmi masomo yao Januari 11 mwaka huu mkoa wa Morogoro upande wa elimu sekondari umejipanga kuishi katika kauli mbiu ya hakuna kipindi kupotea lengo likiwa ni kuhakikisha wanafunzi wanafaulu katika kiwango kizuri kinachoridhisha. Hayo yamebainishwa…