Radio Jamii Kilosa
Cheche za Mkuu wa Wilaya
23 June 2021, 10:58 am
DC ataka heshima kazini, Narudi kufundisha Madrasa.
Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro Alhaji Majid Hemed Mwanga juni 22 2021 amewataka Viongozi wote Wilayani humo kuwa wabunifu pamoja na kufanya kazi kwa umoja, kushirikiana bila kubaguana wala kudharauliana kwani kwa kufanya hivyo Wilaya itasonga mbele zaidi…