Radio Fadhila

TCB Bank yatoa msaada shule ya sekondari Nangomba

17 April 2023, 9:15 PM

NANYUMBU

Tanzania Commercial BankTawi la Wilaya ya Masasi Mjini  leo imetoa msaada wa viti ,menza na kabati za  kutunzia vifaa katika maktaba ya shule ya sekondari nangomba kama ilivyo sesturi waliojiwekea kama bank  kurudisha faida kwenye jamii walicho vuna, mradi huo ukiwa umegharimu kiasi cha pesa za kitanzania sh milioni mbili na laki nane hayo yabainishwa na  FRENK NINDI NI MENEJA WA TANZANIA COMMERCIAL BANK TAWI LA MASASI MJINI.

Mgeni Rasmi Katika Makabidhiano Hayo ni Mkuu wa wilaya ya Nanyumbu Marium Chaurembo

Wanafunzi wa Shule ya SekondariNangomba.

Mkuu wa shule ya sekondari nangomba

picha ya pamoja mkuuwa wilaya ya nanyumbu na wafanya kazi wa tanzania commercial bank

Unaweza sikiliza kipindi hiki kujua zaidi yaliyojili katika makabidhiano hayo.