Radio Fadhila

Mapokezi ya mwenge wa uhuru halmashauri ya mji Masasi

11 April 2023, 8:46 PM

makabidhiano ya Mwenge wa uhuru

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Masasi akimkabidhi Mwenge wa Uhuru Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Masasi Ndg Elias Ntiruhungwa.

Ukiwa Halmashauri ya Mji Mwenge wa Uhuru utakimbizwa Kilometa 81 na utapita katika Miradi 5 Mitatu itawekwa Mawe ya Msingi na Miradi (2) itakaguliwa na kuona .