Radio Fadhila

JAJI WA MAHAKAMA KUU KANDA YA MTWARA AIPONGEZA MAHAKAMA YA LISEKESE MASASI.

25 January 2023, 4:25 PM

Katika kuadhimisha wiki ya sheria Jaji wa mahakama kuu  kanda ya Mtwara jaji Eliamani isaya laltaika amefanya ziara katika maeneo mbalimbali ya wilaya ya masasi mkoani mtwara nakutumia ziara hiyo kwa ajili ya kutoa elimu kwa jamii na kusikiliza michango mbalimbali iliyotolewa na wananchi wa wilaya hiyo na kutolea ufafanuzi.

Mhe. Jaji wa Mahakama Kuu Kanda ya Mtwara Eliamani Laitaika akia saini kitabu cha wageni katika Ofisi ya Hakimu mkazi Mfawidhi Masasi.
Mhe. Jaji wa Mahakama Kuu Kanda ya Mtwara Eliamani Laitaika akipanda mkti katika viunga vya Mahakama ya Chiungutwa wilayani Masasi
Viongozi mbali na wanainchi wa Chiungutwa wakimsikiliza Mh. Jaji Eliamini Lailtaika wa Mahakama Kuu kanda ya Kusini