Radio Fadhila

Kipindi cha Muziki wa Afrika! Tunawakumbuka Manu Dibango na Franklin Boukaka pia yumo Issac Hayes

18 January 2023, 4:30 PM

Gwiji wa Southern soul Issack Hayes

Simba wa Afrika mpiga saksafoni maarufu Manu Dibango kutoka Cameroon

Franklin Boukaka kutoka Congo Brazaville mpaka sasa anakonga nyoyo za wengi kwa wimbo wake Aye Afrika