Radio Fadhila

Kongamanola Wadau wa Salamu Kanda ya Kusini Lafanyika Mangaka.

19 December 2022, 7:06 AM

WADAU WA SALAMU KANDA YA KUSINI WAFANYA MKUTANO WA MWAKA MJINI MANGAKA.

Picha ya Pamoja baadhi ya Wadau wa Salamu Kanda ya Kusini, ambapo leo tar 17-12-2022 wamekutana Wilayani Nanyumbu Mjini Mangaka na Kujadiliana baadhi ya changamoto na namna ya kuweza kuzitatua.

Mkutano huo umeongozwa na Mwenyekiti wa Wadau wa Salamu kanda ya Kusini Ostadhi Matewele ambapo moja wapo ya ajenda zilizojadiliwa ni pamoja na kupanga mikakati ya kuzirudisha Salamu club na kuongeza hamasa kwa watuma salamu kujiunga na umoja huo