Radio Fadhila

Maadhimisho ya Siku ya Uhuru Desemba 09, Mwaka huu- MASASI

9 December 2022, 6:23 AM

Katika kuelekea kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Uhuru Desemba 09, Mwaka huu, Mkuu wa Wilaya Bi. Claudia Kitta ameungana na Wafanyakazi wa Taasisi mbali mbali za Serikali pamoja na Wananchi Wilayani hapa pamoja na kufanya usafi wa mazingira kwenye maeneo kadhaa ikiwamo Mkomaindo Hospitali, Stendi Kuu ya Mabasi, Soko la Tandale, Kituo cha Afya chiungutwa na Shule Maalum Lulindi.
Pichani ni baadhi ya Matukio