Radio Fadhila

Mkuu wa wilaya ya masasi Claudia kitta amewapongeza viongozi wa Dini

26 Machi 2022, 3:55 mu

Mkuu wa wilaya ya masasi Claudia kitta amewapongeza viongozi wa Dini ya kiislamu wakiwemo viongozi wa BAKWATA kwa kuendelea kutoa ushirikiano na kushikamana na Serikali kwa lengo la kuleta maendeleo katika Wilaya na kuwataka wasiache moyo huo wa upendo.

Kitta ametoa pongezi hizo katika hafla fupi ya makabidhiano ya Msikiti yaliyofanywa na wawakilishi wa BAHRESA na viongozi wa BAKWATA MASASI