Radio Fadhila

Mtoto ambaye ni Msichan amekufa baada ya fisi kuvamia Jando la wasichana

9 Julai 2021, 7:19 mu

Mtoto ambaye ni Msichana mwenye umri wa miaka nane wa kijiji cha kivukoni kata ya Chiwale , Wilayani Masasi mkoani Mtwara ambapo mtoto huyo alikuwa amewekwa unyango Jandoni amekufa baada ya fisi kuvamia Jando la wasichana na kumkamata mtoto huyo kisha kundokanae na kumtafuta, huku baadhi ya viuongo vya mwili wa mtoto huyo viliokotwa na tayari vimezikwa na familia yake.

Kupata taarifa hiyo ya kusikitisha pata gazeti la Nipashe la leo tarehe 5 wazazi na walezi walindeni watoto , watoto ndio taifa la kesho