Radio Fadhila

MAAFISA ugani( kilimo) wapatiwa Pikipiki

20 Aprili 2021, 5:05 mu

MAAFISA ugani( kilimo) wa Chama kikuu cha Ushirika wa wakulima Mtwara-Masasi ( MAMCU) wapatiwa Pikipiki kama vitendea kazi ili ziweze kuwarahisishia kutekeleza majumu yao katika kuvitembelea na kuvihudumia vyama vya msingi ili kutoa elimu ya kilimo kwa wakulima na kuongeza tija katika mazao ya kilimo.

Pikipiki hizo zimetolewa na MAMCU huku mgeni rasmi aliyekabidhi nyenzo hizo kwa mafisa ugani hao alikuwa ni mkuu wa mkoa wa Mtwara, Gelasius Byakanwa

chanzo cha habari Hamisi Abdelehemani Nasiri