Radio Fadhila

Chama cha ACT WAZALENDO kimemteua Dorothy Semu

23 Febuari 2021, 4:53 mu

Chama cha ACT WAZALENDO kimemteua Dorothy Semu ambae ni makamu mwenyekiti bara kuwa kaimu mwenyekiti wa chama hicho Taifa baada ya mwenyekiti wa chama hicho Maalim Seif kufariki Dunia Februari 17 mwaka huu. Dorothy atakaimu nafasi hiyo mpaka mwenyekiti mpya atakapo chaguliwa.