Radio Fadhila

KIKOSI CHA SIMBA KINACHOTARAJIWA KUANZA LEO DHIDI YA BIASHARA UNITED

18 Febuari 2021, 10:17 mu

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara, Simba leo wana kazi ya kusaka pointi tatu mbele ya Biashara United, Wanajeshi wa mpakani, Uwanja wa Karume, Mara.

Kwa mujibu wa Spoti Xtra Alhamisi hiki hapa kikosi cha Simba kinachotarajiwa kuanza chini ya Didier Gomse:-

Aishi Manula

Shomari Kapombe

Mohamed Hussein

Kened Juma

Pascal Wawa

Thadeo Lwanga

Clatous Chama

Meddie Kagere

Rarry Bwalya

Bernard Morrison

Luis Miquissone