Radio Fadhila

Rest In Peace- Maalim Seif Shariff Hamad.

17 Febuari 2021, 10:51 mu

Rais wa Zanzibar, Dkt.Hussein Mwinyi ametangaza kifo cha Maalim Seif Sharif Hamad, Makamu wa Kwanza wa Raisi wa Zanzibar , aliyefariki leo Jumatano saa 5:00 asubuhi.Maalim Seif amekumbwa na umauti katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dar es Salaam. Raisi wa Zanzibar ametangaza siku saba za maombolezo.R.I.P Maalim Seif.