Radio Fadhila

Diwani wa kata ya Mijelejele Iliyopo Halmashauri ya Wilaya Masasi Ndg Juma pole amezindua zoezi la upandaji miti

12 Januari 2021, 2:57 mu

Diwani wa kata ya Mijelejele Iliyopo Halmashauri ya Wilaya Masasi Ndg Juma pole amezindua zoezi la upandaji miti katika kata hio iliyoambatana na kauli mbiu isemayo Mti wangu uhai wangu.Uzinduzi huo pia ulihudhuriwa na Afisa Misitu Wilaya Masasi Ndg Kelvin Aidary , Mwenyekiti wa Kijiji ,Watendaji wa Vijiji na Mtendaji wa kata .Kwa upande wake Afisa Misitu Ndg Kelvin Aidary ameeleza jumla ya Miti 6000 ambayo imekabidhiwa katika kata hiyo ni Miti ya Mbao hivyo amewaomba wa… Ona Zaidi