Radio Fadhila

Wanajamii wachanga fedha kukamilisha mahitaji ya shule.

13 Disemba 2020, 6:10 mu

Wazazi katika shule ya mpindimbi

Mkutano uliowahusisha Wazazi na wanajamii katika shule ya msingi Mpindimbi iliyopo wilayani Masasi kwa lengo kujadili mambo ya maendeleo ya katika shule hiyo

Katika mkutano huo pia ilihusisha zoezi la harahambee ya kuchangia ili kukamilisha ujenzi wa ofisi ukarabati wa madawapi pamoja na upatikanaji wa maji shuleni hapo

Kufuatia zoezi hilo walifanikiwa kukusanga michango ya fedha sh laki nne 400000 na ahadi sh 282000 pamoja na mifuko sita 6 ya cement na matofali hamsini 50.