Radio Fadhila

Kipindi Cha Ujasilia Mali- Sanaa ya Uchoraji Kwa Kutumia Rangi Imewaajili vijana wengi

11 Disemba 2020, 8:34 mu

Msikilize athumani miranzi ni moja ya wasanii wa sanaa ya uchoraji kwa kutumia rangi amefanya kazi nyingi 9AMECHORA PICHA NYINGI na kuziuza inje ya nchi ni mwanasanaa anaetokea kusini pia moja ya kazi zake alizo wa hi kuzifanya utazitazama hapa anawahimiza vijana kutumia vipaji vya kwa ajili ya kujikwamua kiuchumi host-MATHEW MAGASHA