Radio Fadhila

Uchaguzi Marekani 2020: Rais mteule asema taifa hilo limerejea wakati wa uzinduzi wa timu yake

25 Novemba 2020, 9:40 mu

Raia wa Marekani Joh Baiden

Uchagizi wa Marekani 2020: ‘Marekani imerejea tena’, amesema Biden wakati anazindua timu yake Rais mteule Joe Biden ajaza nafasi sita muhimu akisubiri kuapishwa na kuchukua rasmi madaraka.

Ikiwa watathibitishwa, Avril Haines atakuwa mkurugenzi wa kwanza mwanamke katika shirika la upelelezi wa taifa na Alejandro Mayorkas kuwa waziri wa kwanza wa Mambo ya ndani Mlatino.

“Marekani imerejea katika hali yake”, amesema, na “iko tayari kuongoza dunia, bado haijakata tamaa”.