Radio Fadhila

Ujasilia Mali-BiasharaYa Chipsi Inawalipa Vijana

18 Novemba 2020, 9:49 mu

KIPINDI CH UJASILIA MALI-huyu ni kijana anayejishugulisha na biashara ya chpsi anaelezea mafanikio aliyo yapata kupitia biashara ya chipsi baada tu ya kumalishule alifanya shuguli mbalimbali lakinia alipo amua tu kufanya biashara ya chipsi imemlipa anaendesha familia yake kupitia biashara hii

HOST- MATHEW MAGASHA