Radio Fadhila

Wakazi wa Wilaya ya Masasi Wakishiriki katika zoezi la kupiga kura kuchagua rais, mbunge na diwani mwaka 2020

28 Oktoba 2020, 3:23 um

hawa ni baadhi wa wananchi walioko katika wilaya ya masasi wakishiriki katika zoezi la kupiga kura uchaguzi mkuu 2020 kumchagua mbunge raisi na madiwani