Radio Fadhila

Viongozi wa kidini,na kimila wakutana kujadili kuhusu wanawake na uongozi

20 Oktoba 2020, 11:04 mu

Kurugenzi mtendaji wa chama Cha wanahabari wanawake (TAMWA) Bi Rose Reuben amewataka viongozi wa kidini,kimila,na manguli wa maswala ya kijinsia kushiriki a na vyombo vya habar kutoa elimu kuhusu elimu ya nafasi ya uongozi wa wanawake,

Reuben ameyazungumza hayo wakati wa walsha iliyo wahusu viongozi hao kutoka mikoa tofauti nchini ikiwepo mkoa wa Mtwara,

walsha hiyo ilihusisha midahalo ambayo viongozi hao walishiriki katika kujadikiana kwa pamoja na kufahamu yanayojiri katika mikoa yao.