Pangani FM

UMEME

29 June 2021, 12:26 pm

MIA za Rais Samia Pangani-Umeme

Shirika la Umeme TANESCO Wilayani Pangani Mkoani Tanga layaelezea Mafanikio yake katika kuwahudumia wananchi ndani ya Siku 100 za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan. Akizungumza na Pangani FM leo Meneja wa TANESCO Wilayani humo…

17 March 2021, 10:11 am

Kukatika Umeme sasa basi.

Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa, tatizo la kukatika umeme mara kwa mara ambalo lilijitokeza katika maeneo mbalimbali nchini siku za hivi karibuni limemalizika. Akizungumza na wakazi wa wilaya ya Muheza mkoani Tanga ikiwa ni sehemu ya ziara…

11 March 2021, 9:24 am

TANESCO yaomba radhi kukatika kwa Umeme Pangani.

Shirika la Umeme Tanzania Wilayani Pangani Mkoani Tanga limewaomba radhi wateja wake kipindi hiki Matengenezo ya Miundombinu yakiendelea kwenye maeneo mbalimbali Wilayani humo. Akizungumza na PANGANI FM  Meneja wa TANESCO Wilayani Pangani Bwana Saidi Shabani Muhando amesema kuanzia Mwezi February…