Pangani FM

TOZO

12 May 2023, 1:41 pm

Wauguzi Pangani waombwa kuboresha mawasiliano kwa wagonjwa

Na Erick Mallya Ikiwa leo ni siku wa wauguzi duniani,wauguzi wilayani pangani mkoani tanga wameombwa kuboresha mahusiano na mawasliano baina yao na wagonjwa Hayo yameelezwa na baadhi ya wananchi wilayani pangani walipozungumza na pangani FM katika ripoti maalum ya maadhmiho…

24 March 2023, 9:16 am

Siku ya Kifua Kikuu Duniani 2023

Leo ni siku ya Kifua Kikuu au TB duniani kwa mujibu wa Mratibu wa Kifua Kikuu na Ukoma jijini Dar es Salaam, Dkt. Mbarouk Seif Khaleif amesema kila mwaka, Watu 137,000 wanaugua Kifua Kikuu (TB) na wanaofariki ni 32,000, sawa…

16 February 2023, 4:09 pm

Ombi la Aweso kwa Mkuu wa wilaya ya Pangani

Na Saa Zumo Mbunge wa Jimb la Pangani Mkoani Tanga Mheshimiwa Jumaa Hamidu Aweso amemshauri mkuu wa wilaya ya Pangani Bi. Zainabu Abdalla kuliweka suala la kushughulikia changamoto zilizopo katika Hospitali ya Halmashaur ya wilaya hiyo katika moja ya vipaumbele…

20 September 2022, 2:53 pm

Watu 900 watibiwa macho Pangani

  Zaidi ya watu 900 wamepatiwa matibabu ya macho katika Hospitai ya wilaya ya Pangani kati ya tarehe 10-15 mwezi huu. Matibabu hayo yamefanyika kufuatia kambi maalum ya matibabu iliyowekwa Hospitalini hapo. Pangani FM imezungumza na Dk. Joan Amos Kibula…

16 November 2021, 1:34 pm

Tozo za miamala kujenga Kituo cha Afya cha Madanga.

Halmashauri ya Wilaya ya Pangani imepokea kiasi cha fedha Shilingi Milioni 250 kutoka katika mgao wa fedha zotokanazo na tozo za miamala ya simu. Akizungumza na Pangani FM Mkurugenzi wa Hlamshauri ya Wilaya ya Pangani Bw. Isaya Mbenje amesema kuwa…

12 November 2021, 5:02 pm

Shinikizo la Damu changamoto zaidi kwa Wanaume Pangani.

Magonjwa ya Sukari na Shinikizo la Damu la Juu yanaongoza kuwa na idadi kubwa ya Wagonjwa Wilayani Pangani Mkoani Tanga. Takwimu zinaonyesha kuwa katika kipindi cha kuanzia Septemba 2020 hadi Septemba 2021 Jumla ya Wagonjwa wenye Shinikizo la Damu la…