Pangani FM

KILIMO

6 March 2021, 9:26 pm

Unafanya Kilimo?Unategemea Kilimo? Sikiliza hapa.

Upo umuhimu mkubwa wa kufuatilia taarifa za hali ya hewa  kwa ajili ya shughuli za Kilimo,Uvuvi,Ufugaji na kwa maisha ya kila siku. Taarifa hizi hutolewa na Mamlaka ya Hali ya Hewa Nchini TMA kupitia mbalimbali vya Habari ikiwemo Pangani FM…

8 January 2021, 7:58 pm

Kilimo cha Mkonge kwa Wakulima wadogo Pangani.

Baadhi ya wakulima wadogo wilayani Pangani mkoani Tanga wameeleza kuhamasika katika a  kilimo cha Zao la Mkonge ili kujikwamua kiuchumi. Wakizungumza katika kipindi cha Jicho Pevu kinachoruka kupitia Pangani FM kila siku ya Ijumaa kuanzia saa 12 Kamili Jioni kilichoangazia…