Pangani FM

ELIMU

14 July 2021, 11:07 pm

MTAKUWWA kijiji cha Sange yawashika mkono wanafunzi.

Kamati ya MTAKUWWA ya Kijiji cha Sange Wilayani Pangani Mkoani Tanga kwa kushirikiana baadhi ya wadau wa elimu wametoa vyakula kwa ajili ya wanafunzi wa shule za msingi Sange na Makorora kusaidia maendeleo ya elimu. Mwanahabari wetu Rajabu Mustapha amefika…

2 March 2021, 3:25 pm

Sekondari ya Funguni yajipanga kuongeza Ufaulu 2021

Katika kuhakikisha wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya  Funguni iliyopo Wilayani Pangani Mkoani Tanga wanafanya vizuri katika matokeo yao ya kidato cha pili na cha nne kwa mwaka 2021, Uongozi wa shule hiyo umekutana na wazazi, walezi pamoja na viongozi…

26 January 2021, 12:18 pm

Uhusiano kati ya Chakula Shuleni na Utoro.

Ukosefu wa chakula cha uhakika katika shule za msingi na Sekondari hapa Wilayani Pangani mkoani Tanga unatajwa kuchangia utoro kwa wanafunzi. Hayo yamesemwa na Afisa Elimu Msingi Wilayani hapa ndugu JUMA HASSANI MBOHELA katika kikao cha kamati ya lishe ya…

10 January 2021, 12:15 pm

CHUMO LA WIKI

Huu ni mwaka mpya leo hii mwaka una siku 10 tu, waswahili wana methali isemayo hayawi hayawi huwa na sasa yamekuwa kesho Januari 11 umande utarudi kwenye viatu ,kengele zilizoanza kupata utandu zitapigwa,madarasa yaliyojawa na mwangwi nayo yajazawa na sauti…

2 December 2020, 4:43 pm

Ufaulu Darasa la Saba 2020 washuka Wilayani Pangani.

Ufaulu kwa wanafunzi waliohitimu Darasa la Saba Wilayani Pangani kwa mwaka 2020 umetajwa kushuka kwa Asilimia 6.74% ukilinganishwa na Mwaka jana. Akizungumza na Pangani fm Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Pangani amesema ufauu huo umeshuka ukilinganisha na mwaka jana…