

16 March 2023, 11:25 am
Na Erick Mallya Ukizungumzia wasanii wa Rap Tanzania wenye mchango mkubwa sana kwenye mitindo na uandishi wa ‘Rappers’ wengi wa kizazi hiki huwezi kuacha kulitaja Jina la Noorah ‘Baba Stylz’ Mpaka sasa Nooraha anwakilisha kundi la ‘Chemba Squad’ lililoanzishwa 1999…