Pangani FM

Habari za Jumla

20 September 2022, 2:53 PM

Watu 900 watibiwa macho Pangani

  Zaidi ya watu 900 wamepatiwa matibabu ya macho katika Hospitai ya wilaya ya Pangani kati ya tarehe 10-15 mwezi huu. Matibabu hayo yamefanyika kufuatia kambi maalum ya matibabu iliyowekwa Hospitalini hapo. Pangani FM imezungumza na Dk. Joan Amos Kibula…

19 August 2022, 10:22 AM

Stamina ndani ya Banja Beat ya Pangani FM

Niaje, Karibu kusikiliza Podcast ya Pangani FM Leo hii tumekuletea mkali wa vina na ‘wordplay’ stamina ambaye amepia stori na Mtangazaji wetu Stephano Simanagwa katika kipindi cha Banja Beat kinachokwenda hewani Jumatatu mpaka Ijumaa saa 8 kamili mchana mpaka saa…

26 July 2022, 6:55 PM

Funguni Sekondari yapokea Milioni Mia Mbili za Mabweni.

Shule ya Sekondari Funguni iliyopo Wilayani Pangani mkoani Tanga imepokea kiasi cha pesa shilingi millioni mia mbili  kwa ajili ya ujenzi wa mabweni ya wanafunzi wakike na wakiume. Akizungumza na Pangni FM katibu tawala Wilaya ya Pangani Mwalimu Hassani Nyange…

6 July 2022, 5:52 PM

Aweso atembelea mradi wa Barabara ya Tanga-Pangani-Bagamoyo

Mapema leo Mhe Mbunge wa Jimbo la Pangani Jumaa Hamidu Aweso amefanya ziara ya kujionea, kukagua na kupokea taarifa ya Utekelezaji wa Mradi wa Ujenzi wa Barabara ya Tanga-Pangani. Akiwa kijiji cha Choba pia amezungumza na wananchi wa eneo hilo…

30 June 2022, 11:11 AM

Wakulima Pangani kupima hali ya Udongo wa Mashamba yao.

Wakulima wilayani Pangani mkoani Tanga wameshauriwa kuwa na utaratibu wa kupima hali ya afya ya udongo katika mashamba yao ili kutambua njia bora ya kusimamia ukuaji wa mazao yao na kuongeza tija katika shughuli zao za kilimo. Hayo yamezungumza na…

28 June 2022, 6:30 PM

Marufuku Bidhaa za Misitu kubebwa kwenye Pikipiki Pangani.

Wakala wa Huduma za Misitu (TFS) wilayani Pangani mkoani Tanga imepiga marufuku ubebaji wa mazao ya misitu ikiwemo mkaa kwa kutumia pikipiki ikiwa ni sehemu ya kupunguza mianya ya utoroshaji wa mazao hayo kwa njia za magendo. Afisa mhifadhi wa…

22 June 2022, 1:31 PM

Wazazi wa Pangani na matumizi ya Simu kwa watoto wao.

Wazazi na Walezi Wilayani Pangani Mkoani Tanga wametakiwa kutowapa watoto wao uhuru wa kupitiliza kwenye Matumizi ya simu za mkononi sababu zinaweza kuwa moja sababu ya kuwaharibu kimaadili. Pangani FM imezungumza na wazazi pamoja na walezi wa kijiji cha Kimang’a…

20 June 2022, 6:32 PM

Wanaume wa Pangani na malezi ya Watoto.

Wanaume wilayani Pangani Mkoan Tanga wamepewa wito wa kutimiza vyema wajibu wao katika malezi ya watoto bila ubaguzi wa kijinsia. Wito huo umetolewa na baadhi ya kina mama wilayani humo ambao kwa wamezungumza na Pangani FM. Wanawake hao wamedai kuwa…