Pangani FM

MIA za Rais Samia Pangani-Wazee

29 June 2021, 12:28 pm

Baadhi ya wazee Wilayani Pangani Mkoani Tanga wameuzungumzia Uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan tangu aingie Madarakani, huku wakieleza kufurahishwa na uongozi wake alio uonyesha kwa Siku 100 tangu aapishwe kuiongoza Nchi hii.

Wakizungumza na Pangani fm, wazee hao wamesema katika Siku 100 za Rais Samia wameona namna anavyoshughulikia maslahi ya Taifa.