Pangani FM

CHUMO LA WIKI

10 January 2021, 12:15 pm

Huu ni mwaka mpya leo hii mwaka una siku 10 tu, waswahili wana methali isemayo hayawi hayawi huwa na sasa yamekuwa kesho Januari 11 umande utarudi kwenye viatu ,kengele zilizoanza kupata utandu zitapigwa,madarasa yaliyojawa na mwangwi nayo yajazawa na sauti za walimu,wanafunzi ,kalamu, na kurasa za vitabu ama madaftari.

Hata mitandaoni sasa utani unaotembea ni ile picha ya Mkono mezani ikisema TUNACHOTAKA MTOTO AJE NA ADA!

Ishara kwamba sasa shule zinafunguliwa.

Karibu kusikiliza Chumo la Wiki hii na mwanidshi wetu Erick Mallya