Pangani FM

Hii ndiyo Siri ya Mafanikio toka kwa Wazazi wa Mwanafunzi bora Darasa la 7 2020.

4 January 2021, 2:09 pm

Suala la malezi pamoja wazazi kujitoa kwenye elimu linatajwa kama nyenzo katika kuhakikisha mtoto anafanya vizuri shuleni.

Hayo yameelezwa na wazazi wa Mwanafunzi aliyeshika nafasi ya Kwanza katika Mtihani wa Darasa la Saba mwaka 2020 Wilayani Pangani.

Sikiliza hapa taarifa iliyoandaliwa na Mwandishi wetu Rajabu Mustapha.