Pambazuko FM Radio

Afya

3 April 2024, 5:06 pm

Jamii yatakiwa kupima magonjwa yasiyoambukiza

Magonjwa yasiyoambukiza ni magonjwa yasiyo na vimelea vinavyoweza kusambazwa kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine, Baadhi ya  magonjwa hayo ni pamoja na Magonjwa ya Moyo, mishipa ya damu, Magonjwa sugu ya njia ya hewa, Shinikizo la Juu la Damu,…

26 March 2024, 1:58 pm

Jamii yahimizwa kupima kifua kikuu

Na Jackline Raphaely Jamii imekuwa na mwitikio mdogo katika  upimaji wa ugonjwa wa kifua kikuu, hali inayoonyesha kuwa bado kuna changamoto  kubwa ya kuwafikia watu wenye dalili za ugonjwa huo. Akizungumza katika maadhimisho ya  kifua kikuu Machi 24,2024 yaliyoandaliwa na…

1 July 2021, 6:20 am

Zahanati Lumemo Kukamilika,Mwenyekiti aeleza

Na: Vitalisi Magalitele Serikali ya Kijiji cha Lumemo kata ya Lumemo Wilayani Kilombero imeingiziwa fedha  kiasi cha shilingi Milioni 15 kutoka Serikali ya Halmashauri ya mji wa Ifakara kwa ajiri ya kusaidia ujenzi wa Zahanati Kijijini humo Akizungumza na pambazuko…