Pambazuko FM Radio

Habari za Jumla

27 May 2023, 12:03 pm

Tembo wachangia maendeleo -Ifakara

Kutokana na wananchi wa Kijiji cha Sole kata ya Mkula Halmashauri ya Mji wa Ifakara kutembea umbali mrefu kufuata huduma za Afya,STEP,imekabidhi hundi ya kiasi cha Shilingi Mil 10 ,kwa ajili ya Ujenzi wa Zahanati ya Kijiji hicho hali itakayosaidia…

16 May 2023, 7:28 pm

Dhana ya Afya Moja katika kutatua changamoto za kiafya

Udhibiti wa magonjwa mbalimbali hauwezi kupatikana kwa kutumia wataalam wa sekta husika pekee hivyo kwa kutumia dhana ya Afya Moja itasaidia kupata suluhu ya afya ya binadamu, wanyama pamoja na mazingira. Na Katalina Liombechi Wataalam wa sekta mbalimbali katika bonde…

26 April 2023, 2:46 pm

Wanaushirika Kilombero wapatiwa mafunzo

wanachama wa ushirika wa uvuvi,usindikaji na masoko wakifuatilia mafunzo{Picha na Elias Maganga} Vyama vingi vya ushirika vimekufa kutokana na kutokuwa na elimu ya ushirika na kutokuwa na siri, hivyo wanachama wametakiwa kuitumia elimu waliyoipata ili kuundeleza ushirika huo Na Elias…

5 April 2023, 3:53 pm

Wanaushirika wakubaliana kuongeza hisa pamoja na michango-Kilombero

Wanachama wa Chama cha Ushirika cha Uvuvi,Usindikaji  na Masoko Kilombero wakiwa kenye mkutano Chama cha Ushirika cha Uvuvi,Usindikaji  na Masoko Kilombero kimeundwa kwalengo la kuwaunganisha Wavuvi wote wanaojihusha na Uvuvi na hio itasaidia kudhibiti uvuvi haramu ili kuulinda Mto Kilombero…

10 February 2023, 4:24 pm

Zoezi la uondoaji Mifugo limeanza katika Bonde la Mto Kilombero

Na Kuruthum Mkata Operesheni ya kuondoa Mifugo ndani ya Bonde la Mto Kilombero, limeanza kutokana na maagizo ya Mkuu wa Wilaya ya Kilombero Wakili Dunstan Dominick Kyobya imeanza katika Kijiji cha Merera,Kata ya Chita ,Tarafa ya Mngeta, Halmashauri ya Wilaya…

24 August 2021, 8:29 am

Tahadhari Ya Moto

Na Katalina Liombechi Wakulima katika Wilaya ya Kilombero wametakiwa kuchukua Tahadhari ya kudhibiti Moto hasa kipindi hiki cha Maandalizi ya Mashamba ili Kuzuia kuchoma Rasilimali Za Misitu. Idd Hassan Liwiga ni Mhifadhi wa Misitu kutoka Wakala wa Huduma za Misitu…

16 December 2020, 8:30 am

Siku 16 za kupinga ukatili Ifakara

Kamati ya MTAKUWA kijiji cha Sagamaganga, kata ya Signali, kwa kipindi cha mwaka mmoja imefanikiwa kuibua ndoa na mimba za utotoni pamoja na matukio ya ubakaji. Hayo yameelezwa na mjumbe wa kamati ya MTAKUWA wa kijiji hicho bi, MACRINA MHALAFU,…