Pambazuko FM Radio

Pembejeo,Hamasa mpya kilimo cha Pamba Malinyi

18 May 2021, 5:21 am

Picha kutoka Maktaba

Wakulima 25 katika Kijiji cha  Kipenyo kata ya Mtimbira Wilayani Malinyi wamelima Jumla ya hekari 41 za zao la Pamba. Afisa Kilimo wa Kijiji hicho Bwana Miraji Ngaillah amesema wakulima wameanza kuhamasika kulima zao hilo ambapo hapo awali kulikuwa na changamoto za pembejeo lakini kwa sasa zimetatuliwa.

Afisa Kilimo wa Kijiji Miraji Ngaillah