Nuru FM
Utalii
21 March 2022, 5:36 pm
Balozi wa Utalii Nchini Isabela agusa maisha ya walemavu watatu wa familia moja…
Familia ya watu watatu wenye ulemavu wa Viungo Katika Kijiji cha Lulanzi kilichopo Wilaya ya Kilolo Mkoani Iringa wamekabidhiwa msaada wa Mahitaji ya Kibinadamu na Balozi wa Utalii Tanzania Bi Isabela Mwampamba. Msaada waliopewa ni pamoja na Mchele, mafuta ya…
21 March 2022, 6:57 am
Balozi wa Utalii Bi Isabela ahimiza kuboreshwa miundombinu ya Barabara Hifadhi…
Balozi wa Utalii Nchini Tanzania Isabela Mwampamba ameishauri serikali kutengeneza miundombinu ya barabara ya Hifadhi ya Taifa ya Ruaha kutoka iringa Mjini. Balozi Isabela ameyasema hayo mara baada ya kutembelea hifadhi ya Taifa ya Ruaha kwenye ziara ya wanawake kutoka…