Nuru FM

michezo

12 March 2024, 12:57 pm

Iringa: Twinsteps yaidhamini timu ya City Center

Udhamini walioupata timu ya City Center utasaidia vijana wao kutojihusisha na matumizi ya dawa za kulevya. Na Hafidh Ally Kampuni ya Twinsteps inayojihusisha na kazi ya kuuza na kununua magari ndani na nje ya Tanzania imejitolea kuidhamini timu ya mpira…

26 March 2022, 7:34 am

Aucho Kamili Kuivaa Azam Fc

UONGOZI wa Yanga, umethibitisha kuwa, kiungo wa timu hiyo, Khalid Aucho, yupo fiti kwa asilimia 100, ambapo ameruhusiwa kujiunga na Timu ya Taifa ya Uganda, huku Yanga wakitumia hiyo kama sehemu ya kumuandaa kuivaa Azam FC. Aucho ni miongoni mwa…

25 March 2022, 9:16 am

Waogeleaji 100 Kuwania Medali,Vikombe Za Klabu Bingwa Tanzania

Jumla ya waogeleaji 100 kuanzia Jumamosi Machi 26  watachuana kuwania medali na vikombe  katika mashindano ya klabu bingwa ya mchezo wa kuogelea yaliyopangwa kufanyika kwenye bwawa la kuogelea la Shule ya Kimataifa ya Tanganyika (IST), Masaki jijini Dar es Salaam. Waogeleaji…

25 March 2022, 7:02 am

Chelsea yaruhusiwa kuuza tiketi

CHELSEA itaruhusiwa kuuza tiketi za michezo ya ugenini, mechi za mataji zinazohusisha timu ya wanawake baada ya serikali ya Uingereza kufanya mabadiliko kwenye leseni maalum ya klabu hiyo. Klabu hiyo haikuweza kuuza tiketi tangu mmiliki Roman Abramovich alipowekewa vikwazo na…

7 December 2020, 10:16 am

Mbabe wa simba apigwa na Yanga

Yanga yaendelea kua timu pekee ligi kuu ambayo mpaka sasa haija poteza mchezo hata mmja hii baada ya kuifunga ruvu shooting goli mbili dhidi ya moja katika mchezo uliopigwa katika uwanja wa Mkapa jijini dar-es-saalamKocha wa Yanga, Cedric Kaze anasema…